Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 6, 2024 amezindua jengo Mtambuka la Mafunzo la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)
Jengo hilo lina madarasa nane, Ofisi kumi na moja, Maabara nane na Vyumba vya Kuhifadhia Kemikali saba pia jengo hilo lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,205 kwa mara moja.