Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo Januari 15, 2024, jijini Dodoma ameongoza kikao na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara kujadili utekelezaji wa bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2023/24.