
Viongozi wa Wizara va Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi va Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), katika kikao cha kisekta leo Aprili 23, 2026, jjini Dodoma wamepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji Mkondo wa Amali katika shule za sekondari nchini.


