Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, imefanya kikao cha kuhitimisha ufuatiliaji wa pamoja (Joint Mission Wrap-up Meeting) wa utekelezaji wa miradi ya SEQUIP na BOOST, kilichofanyika leo Aprili 27, 2026, jijini Dodoma katika ofisi za wizara hiyo.
Chunk saved
Katika kikao hicho, timu ya wataalam kutoka Benki ya Dunia iliwasilisha tathmini (findings) ya utekelezaji wa miradi hiyo, kufuatia ufuatiliaji uliofanyika katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Mtwara na Songwe
Chunk saved
Aidha, kikao hicho kimetoa fursa ya kujadili mafanikio yaliyopatikana pamoja na changamoto zilizobainika, sambamba na kuweka mikakati ya kuboresha utekelezaji wa miradi hiyo ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.
Chunk saved Chunk saved Chunk saved Chunk saved Chunk saved Chunk saved Chunk saved

