
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Aweka Jiwe la Msingi Chuo Cha Ualimu Dakawa

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa majengo mapya katika Chuo cha Ualimu Dakawa.

Tukio hilo limefanyika Aprili 26,2026 sambamba na maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar


