Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza katika Kongamano la Uandishi Bunifu linaloendelea katika ukumbi wa The Dom, Masaki, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2026.