Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasaan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Msufini, Bumbwini Zanzibar baada ya kufungua Skuli hiyo Januari 08, 2025