Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt Charles Mahera, Novemba 28, 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa maendeleo kutoka Serikali ya Nigeria katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.
Katika Mazungumzo hayo walijadili juu ya ushirikiano wa kuleta walimu kwa ajili ya kujitolea Tanzania Bara ambapo kwa sasa wanashirikiana na serikali ya Zanzibar kwa kutoa mchango katika sekta ya afya na elimu.