Leo Novemba 1 2024, Jijini Dodoma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akutana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe Prof Saida Othman ambae aliongozana na Menejimenti ya Chuo hicho.