Picha za matukio mbalimbali wakati wa Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma uliofanyika Septemba 28, 2024 katika Uwanja wa Majimaji Songea.