Mambo yanaanza kuwa Moto Mwenye dhamana ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewasili tayari kumpokea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kuzindua Jengo la Mafunzo Mtambuka la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo



Tunaseposema Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti katika kuhakikisha fursa za elimu bora kwa vijana wa Kitanzania yenye kuwajengea ujuzi, umahiri na stadi zitakazowawezesha kujiajiri, kuajiri ama kuajiriwa hiki ni kishindo kingine. *TUNAMAANISHA