Wadau mbalimbali wa Lishe na Elimu wakutana Dodoma kushiriki Kongamano la Kitaifa la Utoaji wa Chakula na Lishe Shuleni linalofanyika kwa siku mbili tarehe 25 hadi 26, 2024.



Kongamano hilo linaloongozwa na kauli Mbiu: Huduma ya chakula na lishe shuleni Kwa afya na elimu bora.