Timu ya Benki ya Dunia imetembelea Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia, Mbeya kukagua maendeleo ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaojenga miundombinu chuoni



Timu ya Benki ya Dunia iliongozws na Dkt Aneesa Arur kiongozi wa maendeleo ya watu wa Benki ya Dunia akiwa ameongozana na Mathus Kaboko Mtaalamu wa Elimu kutoka Nemki hiyo pamoja na Mratibu wa Taifa wa Mradi wa HEET, Dkt Kenneth Hosea ambapo walipata nafasi ya kujionea namna mradi unavyotekelezwa.