Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Philemon Luhanjo kufunga Mafunzo kwa Viongozi wa Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.



Mafunzo hayo ya siku tatu yanahutimishwa leo 03.07.2024 Jijini Dar es Salaam ambapo kabla ya kufunga mafunzo hayo Katibu Mkuu Kiongozi alifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya elimu sayansi na Teknolojia Prof Carolyne Nombo pamoja na Dkt Rwezimula Naibu Katibu Mkuu