Mafunzo kwa Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yanaendelea ikiwa ni leo Julai 02, 2024 yameingai siku ya pili ambapo Viongozi hao wanawezeshwa juu ya mbinu na mikakati mbalimbali ya uongozi ili kuongeza tija na Ufanisi katika utendaji kazi.



Mchezo wa Blind Fold unaohusisha kuundwa kwa makundi mbalimbali umesaidia kuonesha aina za uongozi ( leadership styles )