Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wameshawasili katika Kongamano la Kwanza kuhusu Dhima ya Lugha za Asili katika kujenga Tamaduni- Mtambuka, Diplomasia ya Kiisimu ya Kiuchumi linalofanyika Februari 20, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Habari
- 1 TUZO YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU INALENGA KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI - PROF. MKENDA
- 2 AGENDA YETU NI KUWEKEZA KWENYE ELIMU UJUZI - PROF. MKENDA
- 3 Mradi wa EASTRIP waongeza Udahili wa Wanafunzi kwa kasi DIT
- 4 WAZIRI MKENDA AZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS BENKI YA DUNIA
- 5 Prof Mkenda: atoa wito Wahasibu kuandika Vitabu vya Biashara na Hesabu kwa ajili ya Shule
- 6 WyEST, Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Maendeleo Jamii wamekutana jijini Dar es Salaam kuweka mikakati ya pamoja ya kutangaza shughuli zinazofanywa na Mradi wa ESP