Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utekelezaji Miradi (UNOPS) Rainer Frauenfeld amekutana na Uongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na kufanya mazungumzo ya namna ya kushirikiana katika kutambua na kutekeleza miradi mbalimbali inayolenga kuimarisha sekta ya elimu.
Habari
- 1 TUZO YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU INALENGA KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI - PROF. MKENDA
- 2 AGENDA YETU NI KUWEKEZA KWENYE ELIMU UJUZI - PROF. MKENDA
- 3 Mradi wa EASTRIP waongeza Udahili wa Wanafunzi kwa kasi DIT
- 4 WAZIRI MKENDA AZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS BENKI YA DUNIA
- 5 Majadiliano ya Kina ya namna ya kutaarufu umma juu ya Mradi wa Uwezeshaji Kupitia Ujuzi (ESP)
- 6 Prof Mkenda: atoa wito Wahasibu kuandika Vitabu vya Biashara na Hesabu kwa ajili ya Shule