Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Novemba 30, 2023 alitembelea mabanda mbalimbali katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)