Wajumbe wa Mkutano wa 32 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakijiandaa kuanza Mkutano unaofanyika Jijini Tanga



Mkutano huo unaotarajiwa kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya elimu na watumishi unatarajiwa kufunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Waziri Kindamba.