Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo leo Agosti 30, 2023 jijni Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link Abdulmalik Mollel kuhusu masuala mbalimbali ya elimu.
Habari
- 1 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko
- 2 Prof Carolyne Nombo amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Kukuza Usafirishaji wa Huduma Nje (Service Export Promotion Council)
- 3 Prof. Carolyne Nombo ameongoza ujumbe wa Wizara katika ziara ya Ulinganishaji (benchmaking) nchini India
- 4 Uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo
- 5 Tanzania na India zakubaliana kushirikiana katika kuandaa nguvu kazi yenye Ujuzi unaohitajika katika nchi zote mbili
- 6 Prof. Carolyne Nombo amekutana na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. Anisa Kapufi Mbega