Makamu Mwenyekiti Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Mhe. Musa Sima amepongeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuendeleza mageuzi katika Sekta ya Elimu ikiwemo kazi ya kuhimiza na kutambua uandishi Bunifu.



Amesema ubinifu huu unawezesha kutunza urithi wa lugha adhimu ya kiswahili, Utamaduni wa mtanzania lakini pia inachochea ari ya uandishi na usomaji