Mhe Omari Kipanga Naibu Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia akiwasili katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma leo April 14, 2025, tayari kushiriki kikao cha pili cha mkutano wa 19 wa Bunge la 12 ambao ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026