Katibu Mkuu Prof Carolyne Nombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Kukuza Usafirishaji wa Huduma Nje (Service Export Promotion Council) Atul Kumar Tiwari.
Katika mazungumzo hayo, wamekubaliana kuingia mshirikiano yatakayowezesha maendeleo ya ujuzi.