Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia washiriki zoezi la kujiandisha katika daftari la Wapiga Kura ili kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.