Mhe. Qs Omar Kipanga amewataka wakazi wa Mafia kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura
Naibu waziri wa elimu, sayansi na teknolojia Qs Omar Juma Kipanga amewataka wakazi wa Mafia na maeneo mengine kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura ili waweze kuchagua viongozi kwa maendeleo ya nchi.