# Washauri kuongeza wigo wa wakopaji



Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dodoma, 16 Oktoba 2024 imewasilisha taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni, na Michezo kuhusu utekelezaji wa utoaji wa mikopo ya elimu kupitia Benki ya NIMB PLC ujulikanao kama “Education Loan”.



Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Husna Sekiboko na Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikiongozwa na Mhe. Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia