Napenda kushukuru Wawekezaji Binafsi katika sekta ya elimu nasisitiza kuwa tutaendelea kushirikiana nanyi kwa karibu ikiwemu kuwa na mifumo ya kuwezesha utekelezaji kupitia Public Private Petnership.



Aidha, tunataka Mafunzo ya Amali yawezeshe Ujuzi kwa Wahitimu, hivyo tutahakikisha yanatekelezwa kwa viwango vinavyotakiwa, hivyo tunahimiza Shule kuwekeza katika miundo mbinu na vifaa stahiki vya mafunzo ya amali inayotoa.



Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIE) jijini Dar es Salaam April, 27, 2024.