Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda ameshiriki mbio za Kilimarathon 2024 pamoja timu za Chuo kikuu cha ushirika moshi (MuCO) na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela