![](http://moe.go.tz/sites/default/files/styles/max660/public/2024/01/22/wizara_elimutanzania-20240122-0001_3.jpg?itok=GiYYTVO0)
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo leo Januari 20, 2024 wametembelea Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) ili kufahamu majukumu ya Tume hiyo na utekelezaji wake.