Mazungumzo ya Sera Mpya ya Elimu yanaendela Afisa Mwandamizi festo siame kutoka Idara ya Sera na Mipango Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Amefafanua kuwa Sera Mpya imejielekeza kutoa mwongozo wa mchakato mzima wa utoaji wa elimu na mafunzo, imejielekeza katika kutatua changamoto ambazo zimebainishwa kuhusu utoaji wa elimu na mafunzo kwenye Sera iliyo maliza muda wake
Ameyasema hayo leo Disemba 7, 2023 kwenye kipindi cha The Morning Show Dodoma TV. Endelea kufuatilia Sera Mpya ya elimu