Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa GPE Laura Frigenti kuhusu masuala mbalimbali ya elimu.
Habari
- 1 TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE ULIOFANYIKA NOVEMBA 2024
- 2 KUELEKEA UZINDUZI WA SERA MPYA YA ELIMU
- 3 SERIKALI MKOANI MWANZA YAWAPA JUKUMU WALIMU KUTENGENEZA JAMII YA KISAYANSI
- 4 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko
- 5 Prof. Adolf Mkenda amekutana na Waziri Simbachawene pamoja na Waziri Mchengerwa kujadili juu ya ajira za walimu
- 6 NAIBU KATIBU MKUU - SAYANSI AWAKILISHA WIZARA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI