Ministry of Education and Vocational Training

Ministry of Education and Vocational Training
UFAFANUZI KUHUSU KUPITIWA UPYA KWA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012

Mnamo tarehe 03 Mei, 2013 Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Wiliam Lukuvi (Mb) ilitoa Kauli ya Serikali Bungeni Kuhusu Taarifa ya Awali ya Tume ya Taifa ya Kuchunguza Sababu za kushuka kwa ufaulu wa Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2012.
Read more...
 
HOTUBA YA MHE. DKT. SHUKURU J. KAWAMBWA (MB), WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Hotuba ya Mhe. Dkt. Shukuru J. Kawambwa (MB), Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu maalum wa Tamongsco uliofanyika Aprili 30, 2013 katika ukumbi wa Benjamin W. Mkapa, soko matola, Mbeya.
Read more...
 
TANGAZO KWA WALIMU WALIOKUWA WAMEAJIRIWA NA SERIKALI WALIOHITIMU SHAHADA NA STASHAHADA MWAKA 2012
TANGAZO KWA WALIMU WALIOKUWA WAMEAJIRIWA NA SERIKALI WALIOHITIMU SHAHADA NA STASHAHADA MWAKA 2012  

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inawatangazia Walimu wote waliokuwa wameajiriwa na Serikali kabla ya kwenda masomoni, waliohitimu na kufaulu mafunzo mwaka 2012,
Read more...
 
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUSOMA NCHINI MSUMBIJI KUPITIA MPANGO WA TANZANIA MOZAMBIQUE MWAKA 2013
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUSOMA NCHINI MSUMBIJI KUPITIA MPANGO WA TANZANIA MOZAMBIQUE STUDENTS EXCHANGE PROGRAMME (TAMOSE) MWAKA 2013
Read more...
 


Page 7 of 16

You are here  : Home