Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akipokea taarifa ya ujenzi kutoka kwa mhandisi Harbert Kimboi na mkuu wa chuo hicho Deogratias Lugalema wakati akikagua maendeleo ya ukarabati wa chuo cha ualimu Mpwawa kilichopo mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Jumuiya ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Watumishi wa Serikali na wananchi kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu cha UDSM.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiongea na Jumuiya ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Watumishi wa Serikali na wananchi waliofika kushuhudia uwekeaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa hosteli za chuo hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu cha UDSM wengine katika picha ni Mama Janeth Magufuri, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarishi na Naibu Katibu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leornad Akwilapo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu cha UDSM uliofanyika leo katika viwanja vya chuo hicho.

Kurasa 9 ya 24

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: 
  •               Mtaa wa Afya - Mtumba
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…