Aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Anthony Tarimo akiongea na wajumbe waliohudhuria kikao cha kumuaga baada ya kupata uhamisho. Tarimo ameagwa baada ya kutumikia wizara kwa muda wa miaka sita, nafasi yake inachukuliwa na Ahadi Msangi anayetokea Wizara ya Nishati na Madini. Pembeni mwenye miwani ni Mhasibu Mkuu mpya.
The Ministry of Education, Science and Technology, would like to announce to the general public scholarships opportunities to the qualified Tanzanian Citizens interested to pursue Masters degree programme in the Kingdom of Thailand for the academic year 2017-2018.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia mhandisi Stella Manyanya akizumgumza na Mtaalamu mshauri, uendeshaji ujuzi na ajira ofisi ya kanda shirika la kazi duniani ILO Ashwani Aggarwal. alipomtembelea Ofisini kwake
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia mhandisi Stella Manyanya akipokea vitabu kutoka kwa Mtaalamu mshauri, uendeshaji ujuzi na ajira ofisi ya kanda shirika la kazi duniani ILO Ashwani Aggarwal. alipomtembelea Ofisini kwake
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Mkinga akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish baadhi ya nyaraka mbalimbali zinazohusu Vyuo vya Maendeleo ya Jamii ambavyo sasa vitakuwa vikiendeshwa na kusimamiwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na anayeshuhudia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Simone Msanjila.