Waraka wa Elimu Na. 5 wa mwaka 2016 kuhusu Mwongozo wa utekelezaji wa programu za mafunzo ya Ualimu.

 

Ufafanuzi wa Waraka wa Elimu namba 5 wa mwaka 2016 kuhusu Mwongozo wa utekelezaji wa programu za Mafunzo ya Ualimu.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wahitimu  zaidi ya elfu Nne wa kozi mbalimbali wa chuo kikuu huria ambao wametunukiwa shahada zao mara baada ya kuhitimu masomo yao. 

Wahitimu wa chuo kikuu huria kutoka kozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao. mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya Bungo-Kibaha mkoani Pwani kilipo chuo hicho.

Waziri  wa Elimu  Sayansi na Teknolojia profesa Joyce Ndalichako akizungumza katika mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria [OPEN UNIVERSITY]yaliyofanyika katika eneo la Bungo-Kibaha Mkoani Pwani ambapo wahitimu zaidi ya  Elfu Nne kutoka kozi mbalimbali walitunukiwa shahada zao.

Kurasa 3 ya 24

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: 
  •               Mtaa wa Afya - Mtumba
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…