Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akisaini mkataba wa miaka mitatu wa ushirikiano katika Sekta ya Elimu Kati ya Tanzania na Hungary, mjini Budapest nchini Hungary.