Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili Ruvu JKT kwa ajili ya kufunga mafunzo ya vijana wa mujibu wa sheria Operesheni Magufuli.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na Wakuu wa vikosi mbalimbali waliohudhuria sherehe ya kufunga mafunzo ya vijana wa mujibu wa sheria Operesheni Magufuli, Ruvu JKT.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na Wakuu wa vikosi mbalimbali waliohudhuria sherehe ya kufunga mafunzo ya vijana wa mujibu wa sheria Operesheni Magufuli, Ruvu JKT.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na Mhe. Abuu Juma, mbunge wa Kibaha Vijijini wakati alipowasili kikosini hapo  kufunga mafunzo ya vijana wa mujibu wa sheria Operesheni Magufuli Ruvu JKT.

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Leornard Akwilapo (katika) akitoa ufafanuzi kuhusu wanafunzi waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu wa Sayansi  katika Chuo Kikuu cha Dodoma katika ukumbi wa wizara leo.

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…