Waziri Mkuu akiongea na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kwembe, Mlonganzila pamoja na  wafanyakazi (Hawapo pichani) wanaoshiriki katika kujenga  katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi  Kampasi ya Mlonganzila

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akitembelea miradi mbalimbali iliyopo kikosini hapo.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa vikosi mbalimbali. Wa pili kulia ni Mhe. Abuu Juma, Mbunge wa Kibaha vijijini.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akikagua gwaride la vijana kwa mujibu wa sheria Operesheni Magufuli wakati wa kufunga mafunzo hayo.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akitembelea miradi mbalimbali iliyopo kikosini hapo.

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…