Waziri Mkuu akiangalia mashine ya kisasa ya CT Scan katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili alipokwenda kuangalia maendeleo ya ujenzi wa chuo hicho katika Kampasi ya Mlonganzila

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akionyesha baadhi ya mitambo aliyoikuta katika katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi 

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Prof. Ephata Kaaya akitoa maelezo ya baadhi ya vifaa na mitambo kwa Waziri Mkuu iliyopo katika Kampasi ya Mlonganzila

Waziri Mkuu Mhe. Kasim Majaliwa akikagua na akiuliza maswali mara baada ya kujionea mtambo utakaokuwa ukitumika kwa ajili ya ulinzi katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Kampasi ya Mlonganzila

Waziri Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na watumishi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili mara baada ya kujionea maendeleo ya ujenzi wa Chuo hicho katika Kampasi ya Mlonganzila

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…