Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akipata maelezo ya awali kutoka kwa Profesa Florens Luoga (Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma) kuhusu ujenzi wa mabweni ya chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wakati alipotembelea eneo la mradi huu muda mfupi kabla ya Rais kuwasili.Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarish.

Jengo jipya la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) Kampasi ya Mlonganzila lililopo katika hatua za mwisho za ujenzi. 

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Prof. Ephata Kaaya alipokwenda kukagua ujenzi wa Kampasi ya Mlongazila

Waziri Mkuu akiongea na Mtaalam wa mitambo ya kupimia damu katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili alipokwenda kuangalia maendeleo ya ujenzi wa chuo hicho katika Kampasi ya Mlonganzila

Waziri Mkuu akikagua baadhi ya vifaa vya afya katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili alipokua akitembelea maeneo mbalimbali ya  chuo hicho katika Kampasi ya Mlonganzila

Kurasa 13 ya 24

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…