Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr.John Pombe Magufuli akikagua mradi wa ujenzi wa mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati alipotembelea Mradi huo. Kushoto ni Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr.John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TBA Msanifu Majengo  Elius A. Mwakalinga kuhusu mradi wa ujenzi wa mabweni ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam wakati alipotembelea Mradi huo chuoni hapo. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako.

Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarish akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr.John Pombe Magufuli wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. John Pombe Magufuli wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Kurasa 12 ya 24

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…