The Ministry of Education, Science, Technology would like to announce to the public List of Tanzanian students selected to enroll at Algerian Universities for the forthcoming Academic Year 2016/2017
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako akimshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr.John Pombe Magufuri kwa uamuzi wa kujenga mabweni katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam ikiwa ni hatua katika kuleta ubora wa elimu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr.John Pombe Magufuli akikagua mradi wa ujenzi wa mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati alipotembelea Mradi huo. Kushoto ni Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Joyce Ndalichako.