Jumatano, 16 Oktoba 2019 07:42

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Kiganza na wanafunzi wa shule ya sekondari Mwibuye wakimsikiliza waziri wa Elimu(hayupo pichani)mara baada ya kukagua miradi ya elimu inayotekelezwa katika shule hiyo iliyopo Halmashauri  ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma

Jumatano, 16 Oktoba 2019 07:36

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akitoa maelekezo wakati wa ukaguzi wa bwalo la chakula linalojengwa katika shule ya msingi ya mfano Bwega iliyoko wilaya Buhigwe mkoani Kigoma

Jumanne, 15 Oktoba 2019 16:16

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na walimu, viongozi wa serikali ya mkoa wa Mtwara, wanafunzi na Wananchi (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya 'Shule ni Choo Msitiri Mwanafunzi na Mwalimu' iliyozinduliwa leo Mkoani Mtwara.

Jumanne, 15 Oktoba 2019 16:13

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa wakikagua choo katika shule ya Msingi Kambarage wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya SHULE NI CHOO MSITIRI MWANAFUNZI NA MWALIMU iliyofanyika leo mkoani Mtwara.

Jumanne, 15 Oktoba 2019 16:09

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akipokea mchango wa ujenzi wa vyoo vya wanafunzi na walimu mkoani Mtwara wakati wa Kampeni ya SHULE NI CHOO iliyofanyika leo katika Shule ya Msingi Kambarage.

Jumatatu, 07 Oktoba 2019 09:42

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknilojia Profesa Joyce Ndalichako amewatunuku vyeti vya kuhitimu kidato cha nne wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Sumve iliyoko mkoani Mwanza.

Mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya shule hiyo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mbunge wa Jimbo la Sumve
Mhe. Richard Ndassa

Ijumaa, 04 Oktoba 2019 13:40
Jumanne, 01 Oktoba 2019 13:17
Jumanne, 01 Oktoba 2019 13:14
Ijumaa, 04 Oktoba 2019 13:14
Jumanne, 01 Oktoba 2019 13:11
Jumanne, 01 Oktoba 2019 13:01

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akifungua jiwe la msingi la Kiwanda cha VETA Dodoma. Pembeni ni Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira,  Vijana na Walemavu Mhe. Anthony Mavunde.

Kurasa 1 ya 61

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…