Jumatatu, 31 Oktoba 2016 19:22

WAZIRI WA ELIMU AKIWA KATIKA SHULE YA NASIBUGANI WILAYA YA MKURANGA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwa  na Naibu Katibu Mkuu Prof. Simon Msanjila kwa pamoja wakiwa wamebeba tofari walilotengeneza wenyewe ikiwa ni sehemu ya ushiriki wao katika  kuunga mkono juhudi za vijana wazalendo waliojitolea kwa ajili ya kufyatua tofari 45,000 katika kipindi cha mwezi mmoja ili kujenga nyumba za walimu, vyumba vya madarasa na mabweni katika shule ya Sekondari ya Nasibugani iliyopo wilayani Mkuranga mkoani Pwani.  

Read 3190 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: 
  •               Mtaa wa Afya - Mtumba
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…