News (109)

Baadhi ya majengo ya vyumba vya madarasa vilivyopo katika shule ya msingi Mitambo.

Kumekuwa na taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa Instagram inayoonesha majengo ya Shule ya Msingi ya Mitambo iliyo Kata ya Madimba Wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inapenda kutoa taarifa kwamba majengo hayo siyo yanayotumika katika Shule hiyo kwa sasa.

Shule hii ina usajili Namba EM14873 na ina madarasa ya kudumu ambayo yamejengwa na Serikali kupitia Mpango wa Lipa Kulingana na Matokeo na Halmashauri ya Wilaya husika. Kama ilivyo katika shule za maeneo mbalimbali nchini ujenzi wa madarasa pamoja na matundu ya vyoo zaidi bado unaendelea na kwa kumbukumbu za Wizara, majengo hayo ya tope yaliyooneshwa katika Mtandao kwa sasa hayapo katika shule hiyo.

Picha halisi za madarasa katika shule hiyo ni kama zinavyoonekana hapo chini. Aidha picha hizo pia zinaweza kuonekana kwenye tovuti ya wizara www.moe.go.tz na mitandao ya kijamii ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikiwemo Instagram: wizara_elimutanzania twitter: wizara_elimuTz, www.wyestu.blogspot na www.facebook/moestvt.com.

Wizara imesikitishwa na taarifa hizi za upotoshaji na inatoa rai kwa watu wote kutambua umuhimu wa kuthibitisha ukweli wa taarifa anazokusudia kuzitoa kabla ya kuzisambaza.

Sylvia T. Lupembe

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebaini kwamba kuna wanafunzi ambao ni raia wa Tanzania wanaosoma katika Taasisi za Elimu ya Juu nje ya nchi lakini taarifa za uwepo wao katika nchi hizo hazifahamiki kwenye Ofisi za Balozi zetu katika nchi wanazosoma.

Call for Application

The General Public is hereby informed that, The Inter-University Council for East Africa (IUCEA) in partnership with the World Bank invites female applicants to apply for the IUCEA-World Bank Masters Fellowships for 2019. Eligible candidates must obtain an admission from an Africa Center of Excellence (ACE) that isKenya, Ethiopia, Rwanda, Malawi, Zambia, Mozambique and Uganda

Call for Application

The General Public is hereby informed that, the Government of Pakistan has offered scholarships opportunity to Tanzanian to study Master’s degree programme in the Public Universities. Eligible candidates may apply in field of Social Sciences, Gender Studies, Arts & Humanities, Management and Business Education, Agriculture and Veterinary Sciences, and Natural Sciences/Physical Sciences.

Call for Application

The General Public is hereby informed that, Organization for Women in Science for the Developing World (OWSD)

Call for Application

The General Public is hereby invited to apply for Postgraduate Scholarships tenable at; The Centre for Innovative Drug Development and Therapeutic Trials for Africa (CDT-Africa) which is a World Bank supported Africa Centre of Excellence for Higher Education and Research at the College of Health Sciences, Addis Ababa University, Addis Ababa, Ethiopia. The Centre aims to improve access to health care through novel medical discoveries (medicines, vaccines, diagnostics, care delivery mechanisms) supported by clinical trials. CDT- Africa is one of the centres in a World Bank supported, multi county project titled “The African Centres of Excellence-II” which Tanzania is a partner country to ACE II therefore eligible candidates are strongly encouraged to apply.

Mode of Application

Application information is available at the link:

https://www.ace2.iucea.org/MSc-in-Clinical-Trials_CDT-Africa-CHS-AAU.pdf

Submission

Application package should include copies of; Curriculum Vitae (CV), Official Transcript, Degree Certificates, A motivation letter, and Birth Certificate. All these documents must be submitted as electronic copy to Dr. Tsegahun Manyazewal (Email: Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.) with a copy of the submission availed to Ms Samrawit Ketema (Email: Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.)

Application must be submitted not later than 15th May 2019.

Issued by:

Permanent Secretary,

Ministry of Education, Science and Technology,

University of Dodoma,

College of Business and Law,

Block 10, P .O. Box 10, 40479 DODOMA.

SUPPORT TO TECHNICAL VOCATIONAL EDUCATION AND TRAINING AND TEACHERS EDUCATION PROJECT – (STVET-TE)

SPECIFIC PROCUREMENT NOTICE

TENDER NO. ME-024/2018-19/HQ/G/25

NATIONAL COMPETITIVE BIDDING

SUPPORT TO TECHNICAL VOCATIONAL EDUCATION AND TRAINING AND TEACHERS EDUCATION PROJECT – (STVET-TE)

SPECIFIC PROCUREMENT NOTICE

TENDER NO. ME-024/2018-19/HQ/G/22

INTERNATIONAL COMPETITIVE BIDDING

Kurasa 1 ya 14

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…