Mwenyekiti wa Kamati Mpya ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo wakifuatilia uwasilishwaji wa Muundo wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia uliofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Akwilapo (hayupo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini Dodoma.