Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (aliyesimama) akiwasilisha Muundo wa
Wizara hiyo wakati wa kikao cha kwanza cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kilichofanyika Jijini Dodoma.
Alhamisi, 28 Januari 2021 00:13