Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na ujumbe kutoka shirika la DFID ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Jane Miller ambaye ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kuipa kipaumbele elimu ya mtoto wa kike.