Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Juma Kipanga (kushoto) akipewa ufafanuzi kwenye michoro ya majengo kutoka kwa wahusika wa kampuni ya CF Builders ambao ndio wanaotekeleza ujenzi wa majengo matano mapya katika chuo cha ualimu Mpwapwa.