Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigadia General Marco Gaguti wakisikiliza maelezo ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma cha Mkoa wa Kagera wakati wa ziara mkoani humo.
Jumamosi, 09 Januari 2021 22:44